Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye ameanzisha ufugaji baada kupata mafunzo kutoka asasi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa iliyopewa fedha kiasi cha dola za Marekani 64,000.
Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia(TBL)Kanda ya kaskazini,Wilderson Kitio(kulia)akizungumza na maafisa wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa wakati wa ziara ya kutembelea miradi iliyofadhiliwa na TBL kupitia asasi hiyo mkoani Arusha hivi karibuni
Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia) akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Naserian Mayase wakati wa ukaguzi wa miradi ilifadhiliwa na TBL kupitia taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa.Picha na Mpigapicha Wetu
Comments