Thursday, March 20, 2014

PICHA NATAARIFA KUTOKA OFISI YA RAIS,TUME YA MIPANGO:UWANJA WA NDEGE MTWARA KUBORESHWA

 Mmoja wa viongozi wa Timu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyevaa fulana nyeusi) akihoji uimara wa sehemu ya kutulia ndege wakati walipofanya ziara ya kujionea maendeleo ya Uwanja wa Ndege wa Mtwara.
 Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mtwara, Mhandisi Mugasa Mlondo akitoa maelezo juu uimara na ubora wa uwanja wake wakati Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofanya ziara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo.

No comments:

UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA

📌 *Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS*  📌 *Awamu ya  pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026.*   *📌A...