Wednesday, March 19, 2014

VODACOM YASOGEZA HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA TEGETA

Mmiliki wa duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex, Bw. Francis Nanai (katikati) pamoja na Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (kulia) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa duka hilo linakuwa ni la 78 kw nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom.…
Mmiliki wa duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex, Bw. Francis Nanai (katikati) pamoja na Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (kulia) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa duka hilo linakuwa ni la 78 kw nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Nje na Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bw. Salum Mwalim (wa pili kushoto) na Bi. Upendo Richard (katikati) wakionyeshwa bidhaa zinazopatikana katika duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex. Wa pili kulia ni Bw. Francis Nanai ambaye ni mmiliki wa Duka hilo ambalo linakuwa ni la 78 kwa nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom.
Bi. Rachel Jumanne (kushoto) akipata huduma kutoka kwa Bi. Malka Anam, mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom lillilofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex. Duka hilo ni la 78 kwa nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom.
Bi. Furaha Msaki (kushoto) akipata huduma kutoka kwa Bw. Yotam Chakachaka, mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom lillilofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex. Duka hilo ni la 78 kwa nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom.

No comments: