Wednesday, March 19, 2014

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba aliposilisha Rasimu ya Katiba mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini Dodoma

  Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha Rasimu ya Katiba  mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwenyekiti wa Tume ya  Mabmadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) baada ya Mwenyekiti huyo kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya bele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bungeni Mjini Dodoma Machi 18, 2014.Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge  Maalum la Katiba, Samia Suluhu (kuli), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Profesa  Anna Tibaijuka,  Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (watatu kushoto) na  watatu kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani  , Mathias Chikawe.Picha na ofisi ya Waziri Mkuu

VIDEO:ITV na Mwananchi Communications Limited

No comments:

MKUTANO WA CATA UANGAZIE MIJADALA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UKUSANYAJI MAPATO - MAKAMO WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema matumizi ya mifumo ya kisasa ya teknolojia ni chachu kati...