Posted by
Vempin Media Tanzania
on
- Get link
- X
- Other Apps
Msafara wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete ukielekea kwenye Mkutano wa Kampeni katika Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014.
Mbunge a Jimbo la Mchinga,Mh. Said Mtanda (kulia) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014,wakati wa Mkutano wa…
Msafara wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete ukielekea kwenye Mkutano wa Kampeni katika Kijiji cha Mindukene, Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014.
Mbunge a Jimbo la Mchinga,Mh. Said Mtanda (kulia) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (wa pili kushoto walioketi).
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014.Katika Mikutano yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.
Wananchi wa Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze wakimsikiliwa kwa makini Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akilakiwa na wanakijiji wa Kijiji cha Msigi Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akisikiliza kwa Makini hotuba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho,Mzee Juma Mwinyigoha (hayupo pichani).
Ukafika wakati wa Chakula cha Mchana na wakaingia kwenye kibanda ya Mama ntilie ndani ya Kijiji cha Msigi na kuanza kupata msosi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete (kati) akiwa na Mwenyekiti wa Kata ya Talawanda pamoja na Binti Mmoja wa Jamii ya Wafugaji alieomba kupata picha na Mgombea.
Mgombea akitoka kwa Mama Ntilie baada ya kupata msosi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Msigi,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze jana Machi 18,2014.
Comments