Thursday, March 20, 2014

Jionee Mwenyewe Jinsi CCM Walivyozindua Kampeni Kwa Kishindo Jimbo la Chalinze

   Mmoja wa kina mama walioonyesha kuhamasika kwenda kwenye mkutano huo, akiwa na bango la Ridhiwani  huku amebeba mtoto wake wakato akienda kwen ye mkutano huo
 Mjumbe wa NEC na Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akijumuina na WanaCCM wa Jimbo la Chalinze huku akiwa amebeba bango la Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCm katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete katika uzinduzi wa kampeni za CCM kuwania jimbo hilo jana
   Mjumbe wa NEC ya CCM kutoka wilaya ya Lindi, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa na wananchi wengine kumshangilia mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCm katika jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kufungua kampeni za CCM uliofanyika jana
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi na wanaCCM wa Jimbo la Chalinze wakati akiwahutubia kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika jana Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani.

No comments: