Tuesday, March 25, 2014

TAZAMA PICHA ZA UHAKIKA KUTOKA KAMPENI ZA CCM CHALINZE AMBAPO MGOMBEA WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA CHALINZE-CCM RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE ZILIVYOSHIKA KASI YA AJABU

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini,Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni Babu yake,wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake,Pongwe Kiona jana Machi 23,2013
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina CCM la vijana wa boda boda katika kijiji cha Pongwe Kiona, jana Machi 23,2013.

Shule ya Msingi Kwazu ilivyobaki baada ya paa kuezuliwa na upepo mkali
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwwazu iliyong'olewa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...