MKE WA MAKAMU WA RAIS MAMA ASHA BILAL ASHEREHESHA HAFLA YA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE, NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakati akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla ya Siku ya Wanawake,iliyofanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam..
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 8020 Fashions ambao ndio waratibu wa Hafla ya Siku ya Wanawake,Shamim Mwasha akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni Rasmi kuja kutoa hotuba yake.Hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika Hafla ya siku ya Wanawake,Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal akihutubia mamia ya kinamama waliohudhulia hafla hiyo.
Muwakilishi wa Tunaweza akipokea cheti kama mmoja wa Wadhamini waliofanikisha hafla hiyo.
Muwakilishi wa PSPF.
Muwakilishi wa Kampuni ya bidhaa za Urembo ya Tressa.Picha Zote na Othman Michuzi
Comments