Monday, March 03, 2014

Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), imetoa tamko ikitaka Bunge Maalumu la Katiba kuepuka kukashifu mapendekezo ya muundo wa Serikali tatu.

Mwenyekiti wa Tume Askofu Mkuu, Paulo Ruzoka.
----
Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), imetoa tamko ikitaka Bunge Maalumu la Katiba kuepuka kukashifu mapendekezo ya muundo wa Serikali tatu.

TEC imesema muundo wa Serikali mbili haukutatua matatizo ya msingi na badala yake ulilimbikiza kero zilizosababisha Zanzibar kujiundia Katiba yake mwaka 2010 bila kushauriana na Tanzania Bara.
Tamko hilo limesainiwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Askofu Mkuu, Paulo Ruzoka. Tume hiyo imesema pendekezo la Serikali tatu litawarudisha Watanzania hali ya kuwa na umoja.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea......

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...