Friday, March 14, 2014

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

D92A4470D92A4440Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Katibu na naibu katibu wa Bunge Maalum la katiba katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya ikulu ndogo mjini Dodoma leo. Waliokula kiapo mbele ya Rais ni Katibu Bwana Yahya Khamis Hamad na naibu wake Dkt. Thomas Kashililah. Pichani Katibu Wa Bunge Maalum la Katiba Bwana Yahya Khamis Hamad(44440) na naibu wake Dkt.Thomas Kashililah (4070)wakila kiapo mbela ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Wapili kushoto akishuhudia kiapo ni Katibu Mkuu Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu (picha na Freddy Maro).

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...