Ona Jinsi Mwenyekiti wa Chadema na Mjumbe wa Bunge Maalum Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Tundu Lissu Wakishangilia Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Wakati Alipolihutubia Bunge Maalum la Katiba Jana Mjini Dodoma

    Mjumbe wa Bunge Maalum Mhe Freeman Mbowe akishangilia hotuba ya Rais Kikwete
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Tundu Lissu akigonga meza kuashiria kukunwa na hotuba ya Rais Kikwete.Picha na IKULU

Comments