Monday, March 03, 2014

LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR MAREKANI USIKU WA KUAMKIA LEO

Lupita Nyong'o akiwa na tuzo yake.
Mwigizaji mahiri wa Kenya, Lupita Nyong'o amenyakua tuzo ya Oscar kupitia filamu ya ‘12 Years a Slave’ huko Los Angeles nchini Marekani.

No comments:

  ‎
Bodi ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), inayofanya kazi chini ya Wizara ya Fedha, imetoa onyo kali kwa watahiniwa wote wa fani ...