Rais Jakaya Kikweye Azindua Mradi wa Maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga na Kuzindua na Kukagua Soko la Vyakula Michungwani wilayani Muheza
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji Bibi Rukia Bakari muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga. Mradi huo utavinufaisha vijiji vinane katika wilaya hiyo yenye uhaba mkubwa wa maji
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua na kukagua bidhaa Soko la Vyakula Michungwani wilayani Muheza
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuzungumza na wafanyabiashara katika soko la Vyakula Michungwani Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga .Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoa wa Tanga.Picha na Freddy Maro-IKULU
Comments