Friday, March 28, 2014

JENERETA ZA KUFUA UMEME WA GESI ZAANZA KUFUNGWA KINYEREZI


Meneja Mkazi wa Kampuni ya Jacobsen Elektro, Shaun Moore (kushoto), akizungumza na Katibu mkuu kiongozi BaloziOmbeni Sefue (mwenye shati la kitenge), kuhusu ufungaji wa mashine za kufua umeme wa gesi baada ya kutembelea  mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Umeme wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Wengine ni makatibu wakuu wa baadhi ya wizara nchini.

Meneja Mkazi wa Kampuni ya Jacobsen Elektro, Shaun Moore (kushoto), akizungumza na Katibu mkuu kiongozi BaloziOmbeni Sefue (wapili kushoto), kuhusu ufungaji wa mashine za kufua umeme wa gesi baada ya kutembelea juzi  mradi ujenzi wa miundombinu ya Umeme wa Kinyelezi jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Felchesmi Mramba wapili kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi.


 Jenereta ikisubili kufungwa katika eneo hilo
 Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa kazini
 Ujumbe huo ukisikiliza maelezo toka kwa viongozi wa mradi huo.
 Jenereta ikiingizwa kwa ajili ya kufungwa

 Mafundi wakifunga moja ya Jenereta za mradi huo.
 Jenereta likifungwa la kufua umeme

Mafundi wakijenga msingi wa jenereta

 Katibu Mkuu akiongi akitembezwa katika eneo hilo.

 Mafundi wakijenga
 Katibu mkuu, akizungumza na nwakilishi mkaazi hapa nchini kulia ni Katibu Mkuu Eizara ya Nishati na Madini Maswi,

No comments: