Friday, July 25, 2008

usafiri bongo


Kwa hakika usafiri wa mijini una mambo yake hebu mcheki huyu mshikaji na hilo zigo japo ni zigo la sponji lakini bado kuna matata mengi dhidi yake kwanza haoni nyuma, zigo limemzidi kimo na linayumbayumba, lakini ndiyo hivyo mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe.

1 comment:

Anonymous said...

aaaah kweli maisha ya bongo yanasikitisha sana ila ipo siku tutafika tu tuwe na moyo na kuzidi kuomba rehema za mwenyezi Mungu. ameen

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...