Friday, July 04, 2008

Dar bingwawa Netiball


Wachezaji wa timu ya mpira wa Netbal mkoa wa Dar es Salaam wakishangilia kikombe walicho kitwaa baada ya kutawazwa mabingwa wa taifa wa mpira wa Netbal jana. Dar es Salaam waliwafunga Pwani jumla ya magoli 33-18 katika mchezo wa fainali uliochezwa katika viwanja vya Sigara jijini Dar es Salaam.Picha ya Mrocky Mrocky.

No comments:

PPAA yatoa rai wazabuni kutumia moduli kuwasilisha rufaa

  Na Mwandishi wetu, Dar Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malal...