Thursday, July 03, 2008

Rais Jakaya


Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro muda mfupi baada ya kurejea kutoka Misri ambapo aliendesha mkutano wa 11 wa Umoja huo katika mji wa Sharm El Sheikh jana jioni. (picha na Freddy Maro)

No comments:

  ‎
Bodi ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), inayofanya kazi chini ya Wizara ya Fedha, imetoa onyo kali kwa watahiniwa wote wa fani ...