Friday, July 11, 2008

dagaa haba



Dagaa sasa hivi ni dili kule feri na maeneo yote nchini sababu ya amri ya serikali ya kutotumia nyavu ndogo ambazo imesema zinaua samaki wa changa, sasa hivi yanatumika madema na mitego hakuna nyavu hivyo wapenda dagaa jiandaeni ukame wa daa waja picha ya mdau Fidelis Felix ni ya reo reo

No comments:

BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Ag...