
Watu wakiwa katika foleni kingia kwenye uwamja wa Mwalimu Nyerere jana kwaajili ya kuona maonyeosho ya 23 ya biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ambapo sherehe saba saba huadhimishwa leo . Picha na Salhim Shao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...
No comments:
Post a Comment