Airport Zanzibar

Sura ya uwanja wa ndege wa Zanzibar kwa upande mmoja wa uwanja huo, hivi ndivyo unavyoonekana leo hiii hebu cheki, uwanja huu ni uwanja wa kimataifa, madege toka Ulaya yanatua moja kwa moja cha msingi ni kuboresha.

Comments