Kusaka elimu si mchezo



Nakumbuka enzi hizo wakati tukisoma shule umbali wa kilomita zaidi ya tano kutoka nyumbani na wakati huo tulikuwa tukifika shuleni baada ya kuruka manyasi, mitaro na vichaka kadhaa kazi haikuwa rahisi ni taabu tupu.

Comments