Eeehhh bwana hawa jamaaa wanaojenga hii barabara ya Mandela wanaoneakana ni wataalamu wa mitaroo hao yaani wao kutwa kucha kuchimba mitaro hebu chei picha hii ya jana walivyokuwa wanachimbua mitaro kabla ya kuanza kujenga barabara ya mandela eneo la Tabata Relini.
Comments