Friday, July 04, 2008

Miss Higher Learning


Baadhi ya Warembo watakaoshiriki katika mashindano ya Miss Higher Learning Insitutions 2008 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali watashinda leo katika ukumbi wa New World Cinema. Picha na Edwin Mjwahuzi

No comments:

PPAA yatoa rai wazabuni kutumia moduli kuwasilisha rufaa

  Na Mwandishi wetu, Dar Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malal...