Sunday, July 20, 2008

Gari la Ubalozi wa China Lagongana na Toyota Starlet Iliyotoroka Ajali Dar es Salaam


Dereva aliyekuwa akiendesha gari la Ubalozi wa China nchini, akiwasiliana na ubalozi wake baada ya gari lake kugongana na gari dogo aina ya Toyota Starlet ambayo ilikimbia baada ya kusababisha ajali hiyo, makutano ya barabara za Kawawa na Magomeni Kondoa, jijini Dar es Salaam juzi. Picha ya mdau Kassim Mbarouk.

No comments:

TANZANIA YAIPONGEZA NORWAY KWA KUENDELEA KUUNGA MKONO MAENDELEO

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameipongeza Serikali ya Ufalme wa Norway kwa ...