Wednesday, January 06, 2016

MHE. KAIRUKI AITEMBELEA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

SONY DSC
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akisalimiana na watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma alipoitembelea ofisi hiyo jana.  
SONY DSC
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akimsikilizaKamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Salome S.Kaganda (kushoto) alipotembelea ofisi hiyo jana.

No comments:

KAMISHNA WA UHIFADHI TANAPA AONGOZA HAFALA YA KUAPIKA KAMISHNA MSAIDIZI MPYA

Arusha, Julai 18, 2025 – Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), CPA Musa Nassoro Kuji , ameongoza hafla ya kumuapish...