Wednesday, January 06, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA RUVUMA

MBU1
Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika kuwahudumia wagonjwa wao waliolazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabiti  Mwambungu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MBU2
Baadhi ya wauguzi na waganga wa hospitali ya mkoa wa  Ruvuma  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipozungumza nao baada ya kutembelea hopitali hiyo Januari 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MBU3
MBU4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelzwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo  Waziri Mkuu aliitembelea na  kuzungumza na watumishi  akiwa ktika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
MBU5
 Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na bibi Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika chumba maalum cha waze katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MBU6MBU7
Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment