Monday, May 11, 2015

RAIS KIKWETE AWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA MASHUJAA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA YA ALGERIA

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mashujaa wa Algeria, jana Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu.
234
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo wakati alipotembelea Makumbusho ya Taifa la Algeria, Mjini Algiers, janaJumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu.
PICHA NA IKULU.

No comments:

PROF. SHEMDOE AWAASA WANAFUNZI KUENDELEZA VIPAJI VYAO VYA MICHEZO, SANAA

• Awataka kuwa na nidhamu na kusoma kwa bidii Na OWM - TAMISEMI, Iringa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali ...