Saturday, May 09, 2015

NHC Arusha yashinda makombe mawili baada ya kufanya vizuri Mei Mosi

Gibson Mwaigomole na Amani Mazanda wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wameshikilia kombe baada ya kukabidhiwa kombe hilo la ushindi baada ya kufanya vizuri katika maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mwanza na wa mkoa wa Arusha yalifanyika Arusha.

Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wanapita kwenye gari lao la maonyesho na matangazo kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mwanza na wa mkoa wa Arusha yalifanyika Arusha.

Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wakitoa maelezo kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mwanza na wa mkoa wa Manyara  yalifanyika Babati.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wanapita kwenye gari lao la maonyesho na matangazo kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mwanza na wa mkoa wa Arusha yalifanyika Arusha.
  
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wakionyesha namna matofali ya hydraform yanavyotumika wakati wa kujenga kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mwanza na wa mkoa wa Manyara  yalifanyika Babati.
 
Anderson wa Shirika la Nyumba la Taifa akitoa maelekezo kwa mmoja wa wananchi waliofika  kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa yalifanyika Mwanza na wa mkoa wa Manyara  yalifanyika Babati.
Makombe ambayo Shirika la Nyumba la Taifa Arusha limeyanyakuwa baada ya kufanya vizuri katika katika sekta kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA PANGANI, AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI TANGA

PANGANI, TANGA – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 26, 2025, amezungumza na wananc...