Saturday, May 02, 2015

HAFLA YA ZARI YAFANA MLIMANI CITY , ALIA JUKWAANI, MASHABIKI WAMWITA WIIFI, WIIFI!!

Nilifurahia sana hafla hiyo kama walivyofurahia mashabiki wengine wa Diamond na nitamkubali siku zote kwa kazi yake nzuri anayoifanya kimuziki  akiiweka Tanzania juu katika ramani ya muziki Afrika na Duniani “Viva Diamond, Viva Zari” Asanteni.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE KILICHOSHUHUDIA TUKIO HILO-MLIMANI CITY)2Diamon Platnumz  na Zari wakihojiwa na mtangazaji wa Clouds Media Shadee wakati walipowasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya hafla kushoto ni Meneja na msimamizi wa bendi ya Yamoto.3Mkurugenzi wa Fullshangwe kushoto hakukubali ilibidi nipate Selfie  moja na watu wake Matata Diamond Platnumz na Zari wakati wa hafla hiyo.4Diamond Platnumz akizungumza katika hafla hiyo56Diamond Platnumzakipozi kwa picha na mpenzi wake Zari.7Mdau Karoline akipozi kwenye Red Carpet8Sheta kulia na Ney wa Mitego wakiwa katika hafla hiyo.9Kutoka kulia ni Ritha Paulsen na Idrisa na kushoto ni Ney wa Mitego na Sheta pamoja na wanamuziki wengine wakiwa katika hafla hiyo.10Diamond Platnumzakipozi kwa picha na mashabiki wake.11Mkurugenzi wa Jambo Concept Juma Pinto kushoto akijadiliana jambo na Ritha Paulsen katika hafla hiyo.12Abby akihojiwa mara baada ya kuwasili katika hafla hiyo13Hawa mashabiki wa Diamond Platnumz wakaja na bango lenye maneno gongana lakini ukisoma utacheka tu.14Binamu MwanaFA akihojiwa.16Diamond Platnumz akishika kitumbo cha Mpenzi wake ambaye inasemekana ni mjamzito.17Idrisa wa Big Brother akihojiwa.18Mdau Karoline akapozi tena kwa mara ya pili19Baadhi ya warembo waliotoa huduma katika hafla hiyo.20Mashabiki wa Diamond na Zari wakiwa wamefurika kwenye hafla hiyo.21Ilikuwa Full Burudani kwenye ukumbi wa Mlimani City.

No comments: