Monday, February 09, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIPOMFARIJI JAJI MSTAAFU AGOSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani nyumbani kwake Kimara, alipofika kwa ajili ya kumfariji.
  Maka wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani alipomtembelea nyumbani kwake Kimara, kutokana na kufiwa na mama yake mzazi.

No comments:

KAMISHNA WA UHIFADHI TANAPA AONGOZA HAFALA YA KUAPIKA KAMISHNA MSAIDIZI MPYA

Arusha, Julai 18, 2025 – Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), CPA Musa Nassoro Kuji , ameongoza hafla ya kumuapish...