Tuesday, January 06, 2015

ZIARA YA KUSHTUKIZA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALA JIJINI DAR ES SALAAM

  Naibu Wazir wa Maji Waziri Makala akifuatana na wajumbe wa Bodi na Menejimenti, watendaji wa DAWASCO, waandishi wa habari na wananchi wa Boko wakati wa Ziara yake ya kushtukiza katika eneo la Boko jijini Dar es salaam ikiwa ni moja ya maeneo yenye matatizo ya maji ambayo yanasababisha wananchi wengi kukosa huduma hiyo muhimu katika masiha yao.
Naibu Waziri wa Maji Waziri Makala pamoja na wananchi wakishuhudia moja ya eneo ambalo linahusishwa na kuhujumu maji katika eneo la Boko mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam. Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO.
--
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO.
Naibu Waziri wa Maji Amos Makala ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya jiji la Dar es salaam (DAWASCO) kuviwezesha vitengo vya Habari na Biashara ili vifanye kazi karibu na wananchi.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...