Tuesday, January 06, 2015

Balozi Omar Mjenga amtembelea Balozi Modest Mero ofisini kwake Geneva

Balozi wa  Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva, Mhe. Modest Mero akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania Duba alipomtembelea ofisini kwake Geneva.

Wote wawili walilitumikia Taifa kwa pamoja katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.

No comments:

*WAZIRI MKUU AKAGUA MABASI, MIUNDOMBINU YA MRADI WA BRT AWAMU YA PILI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pa...