FRAMES ZA MADUKA ZILIZOPO MIKOCHENI ZINAPANGISHWA


Mahali zilipo:  Kinondoni Mikocheni A, Ziko karibu na nyumba za makazi za TPDC ,
  Zinapakana barabara ya  kuelekea Kwa Mwalimu Nyerere
 Maelezo: Ukubwa  Upana  mita 12 Urefu mita 15 zinaanza kupangishwa Januari 2014 zipo mbili.. Kila Moja inajitegemea.
 Contact: 0786256305,  Kizoka, L.



Comments