



Na Mwandishi wa Xdeejayz-Afrika Kusini
Hatimae Nelson Mandela amepumnzishwa kwenye makao yake ya milele na kimsingi hatutomuona tena hadi siku ya mwisho kwenye ufufuo.
Afrika Kusini na dunia zilikuwa kweye majonzi mazito ya kifo cha shujaa huyo wa karne ambae dunia inamfahamu kwa mambo mema aliyoyafanya.
1 comment:
Hiyo picha inayomwonyesha marehemu Mandela amefumba macho imekuwa "doctored". Mtu aliyeipiga anasema marehemu Mandela alikuwa hai na alikuwa kwenye mkutano wa ANC. Ni kwamba alifumba macho tu.
Post a Comment