Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (Kulia) akipongezwa na mdogo wake Nasirika Nyema baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mjini Morogoro Desemba 6, 2013.
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda akipongezwa na shangazi yake , Beatha Pinda Kaitira (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya uongozi katika mifumo ya afya kwenye mahafali ya chuo kikuu cha mzumbe mjini Morogoro December 6, 2013.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Jaji Barnabas Samata (kushoto) akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu hicho, Mbunge wa Viti Maalum Pindi Chana katika Mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjiniMorogoro Desemba 6, 2013. Katikati ni mkewe Tuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013.
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Comments