Monday, December 30, 2013

Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar

 Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate  kwa waumini wa Kanisa la Anglikana  baada ya kupewa Daraja la Ukasisi   katika Kanisa la Anglikana lililopo  Mkunazini mjini Zanziabar jana,pamoja na mambo mengine Jaji Augustino amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar na Tanzania, Brigedia Jenerali wa JWTZ pia amewahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mahakama ya Afrika Mashariki. Picha na Sahim Shao 

No comments:

SERIKALI YATOA MAELEKEZO NANE KUIMARISHA KAMPUNI AMBAZO INA UMILIKI HISA CHACHE KUELEKEA DIRA 2050

Arusha. Serikali imetoa maelekezo nane ya kimkakati yanayolenga kuimarisha utendaji wa kampuni ambazo ina umiliki wa hisa  chache, ikiwa ni ...