Thursday, December 12, 2013

AJALI YAUA 12 HANDENI, TANGA

Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto)…


Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga. Chanzo: East Africa Radio

1 comment:

Unknown said...

polen xana but mwisho wa mwaka uu mmexahau?

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...