
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'
imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya
baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika
mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!
No comments:
Post a Comment