Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento akifafanua jambo kwa waandishi wahabari na baadhi ya wadau wa sekta hiyo (hawapo picha) ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu Dunia inayotarajiwa kufanyika tarehe 10 Desemba Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento (mwenye koti jeusi) akielezea jambo huku baadhi ya waandishi wa habari na wadau wa sekta ya haki za binadamu wakimsikiliza kwa makini leo jijini Dar es Salaam.Pichani wadau wa Haki za binadamu wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora( hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.Mwandishi wa habari wa ITV Ufoo Saro akiuliza swali wakati wa mkutano wa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – Maelezo
Comments