Thursday, December 05, 2013

HATI ZA MKATABA WA UBIA KUHUSU UCHIMBAJI WA PAMOJA WA MADINI YA TANZANITE WASAINIWA LEO

TANZANIAONE3Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia )Balozi Ami Mpungwe  akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa.KM MadiniKatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto)  akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe.

badilishanaMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe  wakibadilishana hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es salaam.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dar es salaam

No comments: