Monday, March 11, 2013

WASHINDI WA PROMOSHENI YA MAHELA KUTOKA VODACOM WAZIDI KUPATIKANA

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,  Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akichezesha droo ya promosheni ya Mahela inayoendeshwa na kampuni hiyo eneo la Tabata Mawenzi, zaidi ya shilingi milioni 240 zinaendelea kushindaniwa.

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia) akimkabidhi Ramadhani Kibanike mfano wa hundi ya Sh milioni 5 nyumbani kwake Tabata Mawenzi mara baada ya kuibuka mshindi  wa promosheni ya Mahela inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Katikati ni…
 
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,  Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akichezesha droo ya promosheni ya Mahela inayoendeshwa na kampuni hiyo eneo la Tabata Mawenzi, zaidi ya shilingi milioni 240 zinaendelea kushindaniwa.
 
 Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia) akimkabidhi Ramadhani Kibanike mfano wa hundi ya Sh milioni 5 nyumbani kwake Tabata Mawenzi mara baada ya kuibuka mshindi  wa promosheni ya Mahela inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Katikati ni mwanaye.
 
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa, akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni alipofika Tabata Mawenzi, kumkabidhi Bw. Ramadhani Kibanike (kushoto) aliyeibuka mshindi wa shilingi milioni 5 katika  Promosheni ya "MAHELA" inayoendeshwa na kampuni hiyo, mpaka sasa zaidi ya shilingi milioni 240 zinaendelea kushindaniwa.

No comments: