Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Charles Kitwanga Atembelea Viwanda Mkoani Mwanza
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga
akitoa Maelekezo kwa Meneja Udhibiti Ubora Bw Jacob Maiseli kuhusu
Mfumo wa Maji taka wa Kiwanda cha Samaki cha Vicfish cha Jijini Mwanza
aliofanya Ziara ya kutembelea na KujioneaUchafuzi wa
Mazingira.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles
Kitwanga akionyeshwa vifaa vya kufungia samaki kabla ya kusafirishwa nje
ya nchi na meneja udhibiti ubora wa kiwanda cha samaki cha Vicfish
mjini Mwanza Bw Jacob Maiseli.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga
akipata Maelezo ya Utengenezaji wa Samaki na Meneja udhibiti ubora wa
kiwanda cha samaki cha Vicfish Bw Jacob Maiseli wakati wa Ziara
ya kulembeleana kukagua Uchafuzi wa Mazingira JIjini Mwanza.
Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga na
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mbao za Plastiki Bw G Vedagiri wakiketi katika
Meza iliyotengenezwa kwa Maplastiki kwenye Kiwanda cha Plastiki Jijini
Mwanza Wakati wa Ziiara ya Kukadua Shughuli za Uchafuzi wa Mazingira.Picha na Ali Meja-Wizara ya Makamu wa Rais Mazingira
Comments