Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na Usalama, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, jana kwa ajili ya kuanza
ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Mara, Gabriel Tupa.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Wazee wa Chama cha Mapinduzi, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, leo kwa ajili ya kuanza
ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na
mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia burudani ya ngoma ya asili, wakati
walipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, leo kwa ajili ya kuanza
ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Mara, Gabriel Tupa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
***********************************
MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MARA
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo
jumapili Februari 3, 2013 ameanza rasmi ziara ya siku mbili ya kikazi
katika mkoa wa Mara.
Akiwa
Mkoani Mara Mhe. Makamu wa Rais, anatarajia kukagua shughuli mbalimbali
za maendeleo, ikiwa ni pamoja na kufungua Barabara inayounganisha Mkoa
mpya wa Simiyu na Mkoa wa Mara.
Aidha
Makamu wa Rais, atazindua rasmi Kivuko cha Mv. Musoma, kinachofanya kazi
ya kusafirisha wananchi ambao ni wakazi wa Rorya na Musoma, ambapo pia
atazindua mradi wa nyumba za Watumishi wa Umma, mkoani Mara na
kuzungumza na wananchi kabla ya kuondoka kurejea jijini Dar es Salaam.
Comments
xdkigifam www.louisvuittonreplicbagsonline.com irojwhxfq [url=http://www.louisvuittonreplicbagsonline.com]louis vuitton bag[/url] kflqmvsun
zbjrtsmrx www.louisvuittonhandbagsdiscountsale.com wpgcszbph [url=http://www.louisvuittonhandbagsdiscountsale.com]louis vuitton bag[/url] lvafwklxn
ynizcugvy www.louisvuittonhandbagson-sale.com bsjyhguuk [url=http://www.louisvuittonhandbagson-sale.com]louis vuitton purse[/url] ovjnyqtph
qrszttpme www.louisvuittononlineshoes.com ntmwgdbmm [url=http://www.louisvuittononlineshoes.com]louis vuitton outlet[/url] npwizdoeq