Tuesday, March 12, 2013

AIRTEL YAMZAWADIA MKAZI WA RUFIJI MILIONI 15 KUPITIA PROMOSHENI YA AMKA MILLIONEA‏

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi mshindi wa mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Millionea na Airtel, Bi. Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni hiyo. Agnes ni mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa Pwani. Akishuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.

Mshindi wa mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Milionea na Airtel, Bi. Agnes Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya…
 
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi mshindi wa mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Millionea na Airtel, Bi. Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni hiyo. Agnes ni mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa Pwani. Akishuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
 
Mshindi wa mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Milionea na Airtel, Bi. Agnes Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 mara baada kuibuka mshindi wa Promosheni ya Amka Milionea na Airtel.

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...