Friday, March 01, 2013

UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,amemteua Prof. CUTHBERT F. MHILU, Mhadhiri wa Chuo Kikuucha Dar Es Salaam kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania, TBSkuanzia tarehe 18 Februari, 2013.

Kufuatia uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Omary Kigoda (Mb), ameteua Wajumbekumi na moja wa Bodi hiyo. Wajumbe walioteuliwa na mahali wanapotoka ni kamaifuatavyo.
S/N JINA TAASISI ANAKOTOKA
01. Bw. Geofrey Simbeye Mwakilishi wa TPSF
02. Bi. Fatma Riami Diwani Mwakilishi wa Viwanda Vidogo na Vya kati
03. Bw. Michael Kamba Mwakilishi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
04. Dkt. Pamela L. Sawa Mwakilishi wa Wizara ya Afya
05. Bi. Magdallena Utouh Mwakilishi wa Tume ya Ushindani
06. Bw. Jasson B.B Bagonza Mwakilishi wa Wizara ya Fedha
07. Bw. Juma Rajabu Mwakilishi wa Umoja wa wajumbe wenye uelewa wa masuala ya Viwango
08. Bw. Rashid A. Salum Mwakilishi wa Umoja wa wajumbe wenye uelewa wa masuala ya Viwango, Zanzibar
09. Prof. Ntegua Mdoe Mwakilishi Vyuo vya Elimu ya Juu
10. Dkt. Fidea L. Mgina Mwakilishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara
11. Bw. Leandry Kinabo Kaimu Mkurugenzi Mkuu

Uteuzi wa wajumbe hawa, unaanza mara moja.
Imetolewa na Wizaraya Viwanda na Biashara
S.L.P 9503
DARES SALAAM.

No comments: