CHADEMA WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA CHAMA CHA CONSERVATIVE CHA WATU WA DENMARK Posted by Vempin Media Tanzania on March 27, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa (kushoto) akisaini mkataba wa ushirikiano na mwakilishi wa Chama cha Conservative cha watu wa Dermark. Dk. Slaa akibadilishana nyaraka na mwakilishi wa Chama cha Conservative cha watu wa Dermark. Comments
Comments