Rais Jakaya Kikwete Apokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Omar El Bashir wa Sudan Posted by Vempin Media Tanzania on March 01, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Omar El Bashir wa Sudan ulioletwa na Mhe.Dkt.Nafie Ali Nafie ikulu jijini Dar es Salaam Jana asubuhi.Picha na Freddy Maro-IKULU Comments
Comments