Thursday, March 21, 2013

Rais Jakaya Kikwete Azindua Shule Mpya ya Msingi Mabwepande jijini Dar es salaam iliyojengwa Kwa Ufadhili wa Kampuni ya Home Shopping Centre

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua shule mpya ya msingi ya Mabwepande jijini Dar es salaam jana iliyojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya Home Shopping Cenrre
 Rais Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi wa Home Shopping Centre wakati akikabidhi shule hiyo
 Rais Kikwete akimshukuru Mkurugenzi wa Home Shopping Centre kwa kujenga shule ya msingi Mabwepande yenye majengo na samani za kisasa.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni kabla ya kuzindua shule mpya ya msingi ya Mabwepande jijini Dar es salaam jana iliyojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya Home Shopping Cenrre. Picha na Raqey Mohamed

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...