Monday, March 04, 2013

Mkutano wa Hadhara na Kongamano la Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) vyatikisa Mbulu

kamanda  Jackson Makala akihutubia mkutano wa hadhara wa bavicha  Mbulu
Kamanda Jackson Makala akizungumza wakati wa kuchangia hoja za Elimu,Rasilimali na Utawala Bora   wakati wa kongamano la Vijana wa Chadema Mbulu

No comments:

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPOKEWA MSAADA WA VITABU KUTOKA ACCA

  Chuo Kikuu Mzumbe kimepokea vitabu 69 vya kufundishia na kujifunzia kutoka Association of Chartered Certified Accountants (ACCA) kupitia o...