Monday, March 25, 2013

RAIS WA CHINA XI JINPING AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MBILI

 Rais wa China, Mhe. Xi Jinping na mke wake wakiteremka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam jana kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili hapa nchini.
 Mhe. Rais Xi Jinping akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake.
 Mhe. Rais  Xi Jinping na mwenyeji wake Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwasalimia baadhi ya kina mama wa Dar es Salaam waliofika Uwanjani hapo kwa ajili ya mapokezi.…

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...